kabwigwa JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 933 Reaction score 1,543 Oct 18, 2014 #1 Wadau natumia Nokia lumia 610 siwez kudownload nyimbo wala apps mbalimbali kwa anayejua msaada tafadhali. .
Wadau natumia Nokia lumia 610 siwez kudownload nyimbo wala apps mbalimbali kwa anayejua msaada tafadhali. .
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,236 Reaction score 44,280 Oct 18, 2014 #2 nyimbo hadi uhamishe na zune na apps download store
kabwigwa JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 933 Reaction score 1,543 Oct 18, 2014 Thread starter #3 chief-mkwawa said: nyimbo hadi uhamishe na zune na apps download store Click to expand... thanx chief mkwawa najarib naona mizinguo tu labda unipe lands.
chief-mkwawa said: nyimbo hadi uhamishe na zune na apps download store Click to expand... thanx chief mkwawa najarib naona mizinguo tu labda unipe lands.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,236 Reaction score 44,280 Oct 18, 2014 #4 kabwigwa said: thanx chief mkwawa najarib naona mizinguo tu labda unipe lands. Click to expand... kaka bila wewe kujieleza vizuri mimi siwezi kuguess unafanya nini hebu elezea kirefu store umeiona? umejuaje app haziingii, miziki gani imekataa
kabwigwa said: thanx chief mkwawa najarib naona mizinguo tu labda unipe lands. Click to expand... kaka bila wewe kujieleza vizuri mimi siwezi kuguess unafanya nini hebu elezea kirefu store umeiona? umejuaje app haziingii, miziki gani imekataa
kabwigwa JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 933 Reaction score 1,543 Oct 19, 2014 Thread starter #5 Nimeoina ILA kwenye selection siioni Nokia lumis 610.kuna mdau kanambia nahitaj kuifanyia configuration
Nimeoina ILA kwenye selection siioni Nokia lumis 610.kuna mdau kanambia nahitaj kuifanyia configuration
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,364 Reaction score 6,491 Oct 20, 2014 #6 Download uc browser uwe unatumia kwa kudownload video nyimbo na application pia waweza tumia kuplay online video baadhi ya web .
Download uc browser uwe unatumia kwa kudownload video nyimbo na application pia waweza tumia kuplay online video baadhi ya web .