ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Tafuta kms activator irun pc ikiwa connected na internetHabari ya jpili wakuu.
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, tafadhali sana naomba mwenye activation key za windows 8.1 pro anisaidi, PC imekuwa slow,na kuna baadhi ya vitu vinagoma kufanya kazi.
Asante mkuu nimefanikiwaTafuta kms activator irun pc ikiwa connected na internet
Imekuwa activated siyo kwa kms?Asante mkuu nimefanikiwa
Mkuu hii kms naipata wapi?Imekuwa activated siyo kwa kms?
Just google kms activator utakipata kina mb chache nadhani hazifili hata 20Mkuu hii kms naipata wapi?
Ndiyo MkuuImekuwa activated siyo kwa kms?
Nimefanikiwa Mkuu,asante kwa ushauri.Tafuta Microsoft Toolkit,
OkNimefanikiwa Mkuu,asante kwa ushauri.
Tafuta Microsoft toolkit.Wakuu mimi ninachangamoto kwenye ku update hii window 8.1 inazingua nifanyeje?
Tafuta Microsoft Toolkit,
Ni kifaa gan hiki au software gan na wap kinapatikana? Sorry lkn huenda nimeuliza swali la kijinga lakini ukweli sijui n nini hicho,Tafuta Microsoft toolkit.
Ingia Google search,andika Microsoft toolkit then fuata maelekezo ya jinsi ya kudownload na kuitumiaNi kifaa gan hiki au software gan na wap kinapatikana? Sorry lkn huenda nimeuliza swali la kijinga lakini ukweli sijui n nini hicho,
Ni software inayotumika ku activate windows 8,8.1 na 10, ikiwa sambamba na uwezo wa ku activate MICROSOFT OFFICE....Ni kifaa gan hiki au software gan na wap kinapatikana? Sorry lkn huenda nimeuliza swali la kijinga lakini ukweli sijui n nini hicho,
Asante boss ngoja nikaifind nowNi
Ni software inayotumika ku activate windows 8,8.1 na 10, ikiwa sambamba na uwezo wa ku activate MICROSOFT OFFICE....
Asante boss wanguIngia Google search,andika Microsoft toolkit then fuata maelekezo ya jinsi ya kudownload na kuitumia