Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Kukata tamaa ndio ugonjwa mkubwaa kuliko hata hayo magonjwa uliyasemaHabari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.
Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaaView attachment 2358531View attachment 2358532
Kwa mimi nilicyo elewa hao bacteria waliokukuta nao wakati wa endoscopy .(helicobacter pylory) ni kweli wanasababisha PEPTIC ULCER DISEASE AU MADONDA YA TUMBO. Dawa po nyingi ila iyo ya pentapraozole kama umemeza kwa muda wa wiki mbili ni vzuri maana yenyewe inadili na protini na mafuta kuyaweka yawe sawa. ELIGo KiT sansan hua ina mchanganyko wa dawa kama 3 hv kwenye kidonge kimoja. Sjajua uliambiwa umeze kwa muda gani?Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.
Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaaView attachment 2358531View attachment 2358532
tumbo waga limetulia ila ukila chakula ndo linauma au linasokota na kujaa gesi?? Maumivu ya tumbo hasahasa usiku kuanzia saa 6 mpka saa 9??Pantaprazole nilipewa za mwez mzima, HELIGOKIT ya wiki moja umri miaka 29
Dalili tumbo linajaa gas,viungo vya mwili vinauma,tumbon kama kuna Moto unawaka,mdomo kuwa na Radha ya UCHACHU muda wowote Hasa ninspoamka asubuh,nakosa hamu ya Kula muda wowote nimeshiba
kama hospital walivyo sema una vidonda vya tumbo vilivyosababshwa na hao bacteria helicobacter pylori.Tumbo halium tatizo ni gas,sijisikii Kula,Nikila nakula kidogo nimeshiba,tumbon nahis kunawaka Moto,misuli imekaza,miguu nakosa nguvu,viungo vya mwili vinauma,mate Yana radha ya uchungu utadhan nimekunywa alovera hakika nateseka sana