Msaada Tafadhali Ndugu Zangu!

Msaada Tafadhali Ndugu Zangu!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,816
Reaction score
29,474
Habari wanaMMU


Naomba msaada juu ya watoto walionyimwa fursa za kusoma baada yamzazi mmoja ambaye ni baba kumtelekeza mama na watoto lakini alipopatikana mfadhili wa kuwasaidia hawa watoto kielimu ndugu wa wazazi wamekataa hilo na ninavyoandika huu uzi watoto wameachishwa shule kutokana na fitina za ndugu.



Mama na watoto imebidi wahame mji kurejea kijijini baada ya fitna za ndugu.


Msaada tafadhali hata ushauri. mawasiliano kwa watakaoweza saidia hili n.k
 
ELimu..elimu..elimu...chagua EL,UKAWA watoto watasoma tena bure!ahsante nipo furahisha apa tomelaga masala gako jisoga
 
Ndugu hawataki watoto wasome? Au wanataka wao wawasomeshe? Huyo mfadhili wa aina gani??
Maswali ni mengi....
 
Sjaelewa....hebu fafanua vizuri
 
Sijaelewa..........

Ndugu wanaanzia wapi kumzuia mfadhili kama watoto wapo na mama yao.....
 
Ndugu wamewashikilia watoto, serikali ya mtaa haipo? Hata kata haipo? Naona swala la elimu na ustawi wa watoto ni la serikali. Kwahiyo anza na hizo ngazi za chini utapata msaada
 
Habari wanaMMU


Naomba msaada juu ya watoto walionyimwa fursa za kusoma baada yamzazi mmoja ambaye ni baba kumtelekeza mama na watoto lakini alipopatikana mfadhili wa kuwasaidia hawa watoto kielimu ndugu wa wazazi wamekataa hilo na ninavyoandika huu uzi watoto wameachishwa shule kutokana na fitina za ndugu.



Mama na watoto imebidi wahame mji kurejea kijijini baada ya fitna za ndugu.


Msaada tafadhali hata ushauri. mawasiliano kwa watakaoweza saidia hili n.k

Nenda ustawi wa jamii au kwenye ofisi ya Haki za Binadamu,watashuhulikia hilo.
 
Back
Top Bottom