Nenda pale jangwani au maeneo Ya ilala karibu na amana hospitali kuna kampuni za usafirishaji, maroliNaombeni msaada nina tv zangu kama nane nimeenda superfeo kutuma wananiambia kila tv nilipie elfu 75 nimeshindwa ila nimeshauriwa nitafute malori yanayosafirisha mikoani mizigo.
Naombeni msaada nataka kutuma MBINGA MJINI
Tafadhali
Shukran kakambinga nenda kariakoo mataa ya kamata pale karibu na mkuki hausi muulize yoyote akuoneshe kago. nilizipata kwa shida sana hizo
Wanaringa sana wanaenda wenyeweKuna watu wana tamaa aisee kila TV Elfu 75? Hao jamaa ni wa walafi halafu utakuta TV zenyewe ni aboder mtu amenunua 245k.
Nenda jangwani kuna maroli yanasqfirisha mikoani ingawa inabidi uvumilie inachukua muda mzigo kufika sehemu husika
Kuna tofauti kati ya kusafirisha 'mayai' na kusafirisha mahindi..!! Ifu yu noo yu noo onleee..!!!Kuna watu wana tamaa aisee kila TV Elfu 75? Hao jamaa ni wa walafi halafu utakuta TV zenyewe ni aboder mtu amenunua 245k.
Nenda jangwani kuna maroli yanasqfirisha mikoani ingawa inabidi uvumilie inachukua muda mzigo kufika sehemu husika
Hao super feo katika tickets za parcel uwa wanaandika kabisa mzigo ukiharibika wao hawahusiki! Hapo sijui utasemajeKuna tofauti kati ya kusafirisha 'mayai' na kusafirisha mahindi..!! Ifu yu noo yu noo onleee..!!!
Asipoelewa achana naye.Kuna tofauti kati ya kusafirisha 'mayai' na kusafirisha mahindi..!! Ifu yu noo yu noo onleee..!!!
Soma comment namba 11 Acha kufata mkumboAsipoelewa achana naye.
Ha haaa kwahiyo wakivunja tv imekula kwako hawahusikiSoma comment namba 11 Acha kufata mkumbo
Nenda New force bei zao reasonable. super feo amemiliki njia ana gharama sanaNaombeni msaada nina tv zangu kama nane nimeenda superfeo kutuma wananiambia kila tv nilipie elfu 75 nimeshindwa ila nimeshauriwa nitafute malori yanayosafirisha mikoani mizigo.
Naombeni msaada nataka kutuma MBINGA MJINI
Tafadhali
Sasa unaona 75 hela nyingi? Panda basi peleka TV mbinga mwenyewe. Dar-mbinga-mbambabay Ni Super feo tuNaombeni msaada nina tv zangu kama nane nimeenda superfeo kutuma wananiambia kila tv nilipie elfu 75 nimeshindwa ila nimeshauriwa nitafute malori yanayosafirisha mikoani mizigo.
Naombeni msaada nataka kutuma MBINGA MJINI
Tafadhali
Hapa chini ni tiketi ya kusafirisha mzigo ya Superfeo/Selou. Hicho ulichokiandika ni uwongo, wala hujamalizia kwenye mazingira yepi.Hao super feo katika tickets za parcel uwa wanaandika kabisa mzigo ukiharibika wao hawahusiki! Hapo sijui utasemaje
Acha kufuata mkumbo huku huna ushahidi. Soma coment #17Soma comment namba 11 Acha kufata mkumbo
Kwamba Dar mbinga nauli ni 37,500..!??? Wa kupimwa akili wewe..!! Unakujua Mbinga au unaropoka tu??Uko wapi mkuu unipe tu nauli na ya kula njiani nakufikishia chap achana na hao mbuzi yaani tv Moja nauli ya watu wawili?haiwezekani.
Ndo maana nikasema kwenye coment #9 kwamba kuna tofauti kati ya kusafirisha mayai na kusafirisha mahindi. Unachokisafirisha kina risk gani? Hivi unajua bei ya kusafirisha baruti..???Ha haaa kwahiyo wakivunja tv imekula kwako hawahusiki