Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

Msaada tafadhali: Namtafuta mwanangu amepotea tandale dar.

attachment.php

attachment.php
 
Yuko OK anajitambua..nenndA ufufuo name uzima kawe now watakuombea asbh utamwona
 
Sali hii sÀla Sema bwana Yes ninatubu mbele zako zambi zangu zote za ukoo name familia..namrejesha Steven popote alipo.namhifadhi kw damu y Yes Steven njoooo itahivimpaka unalala..udikuhuu namzungushia ulinzi was Yesu usiogope Mungu akutie nguvu yukosalama
 
Pole sana mkuu. Tuko nawe kwenye maombi, tunaamini mtoto atapatikana akiwa salama. Mimi na familia yangu tumeiweka hiyo taarifa kwenye mitandao yetu ya tweeter na facebook.
 
Pole sana mkuu Mungu ni mwema tutampata tu, ila tawanya taarifa kwenye vyote vya habari hasa IPP ili iwe rahisi na mapema zaidi
 
Anaitwa STEVE, Amepotea Leo majira ya saa kumi na mbili jioni maeneo ya Tandale Dar es salaam. Pamoja na kutoa taarifa kwenye vyombo vya Usalama, Tafadhali naomba msaada kwa atakayemwona. 0684325700, 0788266255

View attachment 128869
View attachment 128868
Pole sana Mkuu kwa kupotelewa na mtoto wako kipenzi kamtafute upande wa mashariki wa hapo alipo potea

unaweza kumpata jitahidi sana huenda itachukuwa muda kumpata lakini utampata jitahidi sana. Ikiwezekana omba Msaada Kwa

Mwenyeezi Mungu kwa Dua hii Zaburi 123 Soma asubuhi mara 1 na usiku soma tena Mara 1 kila siku utampata kwa muda usiozidi siku 7.

Ukimpata njoo tena uje utupe feedback.
 
Pole sana...

I will pray for him...utamuona kwa uwezo wa mungu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Asanteni kwa mawazo yenu, tunaendelea pia kwa juhudi za kila aina
 
Asante kwa best wishes, amepatikana sasa kituo cha polisi urafiki, Atukuzwe Mungu
 
Na ashukuriwe Mungu amepatika sasa kituo pclisi urafiki, Asanten pia kwa kubeba mzigo katika maombi :lieni pamoja nao waliao, furahini pamoja nao wafurahio" God bless you
 
Na ashukuriwe Mungu kwa kusaidia kumpata kwenye kituo cha polisi urafiki. Tunawashukuru kwa maombi yenu pamoja na best wishes. May the Lord bless you!
 
Na ashukuriwe Mungu amepatika sasa kituo pclisi urafiki, Asanten pia kwa kubeba mzigo katika maombi :lieni pamoja nao waliao, furahini pamoja nao wafurahio" God bless you

Amen Mkuu,

Poleni sana kwa msukosuko uliowapata. Mungu wetu ni Mwema, na tunapomuomba wote kwa pamoja na kwa imani iliyo timilifu hakika Anatenda makuu. Mbarikiwe sana na poleni sana kwa yote!
 
Sali hii sÀla Sema bwana Yes ninatubu mbele zako zambi zangu zote za ukoo name familia..namrejesha Steven popote alipo.namhifadhi kw damu y Yes Steven njoooo itahivimpaka unalala..udikuhuu namzungushia ulinzi was Yesu usiogope Mungu akutie nguvu yukosalama
We Pdidy ulienda wapi chalii?
F Mnaro mpwa wako yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom