jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,778
- 1,627
Mimi ninavyo vingi vya mtaala huo ila si vya Chand, jaribu kugoogle NCERT watakuletea kuanzia chekechea hadi chuo kikuu.Samahani mkuu naweza pata na math ya A level
Hapa Sina. Ila ungekuwa specific kidogo. Kuna wadau wengi kitapatikana. Binafsi nilisoma PCB though ukiweka jina naweza angalia namna ya kukipataSamahani mkuu naweza pata na math ya A level
Mimi ninavyo vingi vya mtaala huo ila si vya Chand, jaribu kugoogle NCERT watakuletea kuanzia chekechea hadi chuo kikuu.