Basi kama ni Hivyo tafuta mwanaume kisha muingize ndani na ukiona muda wa mr kurudi umewadia mnavua nguo '''''hataka kama sio zote kisha mnakaa sebuleni huku mmepandishiana miguu nadhani hiyo itakua mbinu safi kabisaa
Hahaa huyo ndiye Dark City NA KESHOKUTWA SHAURI LINAFUNGULIWA MAHAKAMANI"
Babu nawe uzee utakuletea shida sasa, nilisema sababu kuu ni nimechoka. Kwenye mabano nikaweka visa vya pombe nilimaanisha alcohol na si the elected president.Hueleweki Mkunde Original. Inakuwaje unata kuachika wakati huna sababu za msingi?
Basi kama ni Hivyo tafuta mwanaume kisha muingize ndani na ukiona muda wa mr kurudi umewadia mnavua nguo '''''hataka kama sio zote kisha mnakaa sebuleni huku mmepandishiana miguu nadhani hiyo itakua mbinu safi kabisaa
Ndiyo cost ya uamuzi wenyewe mkuu. Mara nyingi na akina na mama wengi hudhani kwamba mali zinazopigwa panga la 50 kwa 50% ni za mwanamume tu. Ni mali zote zilizochumwa kwenye ndoa na kama mnaweza kudhibitisha pasi na shaka kwamba kweli ni za wanandoa wote au mmoja wao.
Jeuri yake ya pesa inahusika vipi na mahusiano yenu?
Na mtu anakuchoka vipi sasa bila visa?
But anyway, here's the plan. Jaribu kuwa mlokole, unashinda kanisani kila siku. Siku ambazo yuko home, waalike wapendwa mnene zile scripted languages. Akivumilia hayo, baki tu. Good luck.
Atauwawa. Mkunde Original, muombe tu Mungu, ni mwaminifu. Na anajua unahitaji nini kuliko wewe mwenyewe. Waweza tengana naye chumba huku ukidumu ktk maombi, kama anakuabuse physically basi una haki za kisheria kudai separation
She said ana jeuri ya pesa what if he kills that innocent man!?
Mungu Ambariki Sana Heaven Sent... Amefanikiwa kuwabadili vijana kutoka kwenye Ukamataji wa Fursa Mpaka Kufikia kulitambua neno na kumjua Mungu. Imani Ya bwana iwe nawe
Wewe unamwelewa huyu dada? Mwanzoni nilidhani nimemwelewa.
Hahaha Amen mpendwa. Na wewe uje basi, hujachelewa hata. Prayer fixes everything na hakuna jambo Mungu asiloliweza
Sawa mpendwa, ila mwisho wa siku "kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake mwenyewe". Hutohukumiwa mkiwa group hataNgoja nishauriane na Wanasheria Wangu MITO na KABOOM tukiona inafaa basi nitaungana nanyi
Nafikiri haifanyi kazi kwa ndoa zote. Kwa mfano ndoa ya Kiislamu mgawanyo huwa tofauti
Wewe unamwelewa huyu dada? Mwanzoni nilidhani nimemwelewa.
Babu nawe uzee utakuletea shida sasa, nilisema sababu kuu ni nimechoka. Kwenye mabano nikaweka visa vya pombe nilimaanisha alcohol na si the elected president.
Nataka kuachika kwa kuwa nimechoka sitaki tena kusuluhisha. Maana hayo nilishayafanya sana ila anarudia makosa yale yale yaani ni mfululizo wa visa.
Ngachokaa mbee na ndo hapo nataka nifanye kitu kimoja tuu yeye mwenyewe aseme sikutaki tena.
Mahakamani atanishinda na pesa zake after all hata akisema nguo zangu niache ntaacha maana sihitaji pesa yake wala mali yoyote niliyochuma nae wala mali niliyochuma kabla sijaolewa vyote namuachia. Nataka mwanangu tuu basi nikaanze upya.
Nikisema nimechoshwa na visa mjue nimechoka kwelikweli.....
Ninachokumbuka ni mabandiko yake ya nyuma a year or two before kuhusu matatizo ya mumewe.
Tulimshauri, so inaonekana hakuna improvement na amechoka. Amesema alishajaribu kuondoka lakini akarudishwa (shinikizo au..?) Anaogopa mahakamani kwa corruption iliyopo hatafaulu. She is nice kinda woman so hataki kuharibu reputation yake kwa ajili ya kutafuta separation.
Kwanini hafunguki zaidi? Mtazamo wangu ni:-
-ni mke mwema hataki kutoa siri za nyumbani
-mume au ndugu wa karibu, wapo jf hivyo kuconnect dots ni rahisi
-ameshafanya maamuzi so haihitaji ushauri wa 'vumilia' n the like, after all tulishamshauri nyuma.