Msaada Tafadhali: Modem ya Vodacom E220 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali: Modem ya Vodacom E220

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Jul 10, 2012.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Shalom. Wanajamvi nawaombeni msaada tafadhali. Natumia Modem ya Voda E220. Nina matatizo mawili makubwa kuhusu kwayo. 1. kuna wakati niliacha kuitumia kwa kama miezi miwili hivi na nilipoanza kuitumia siwezi kuangalia kuingiza bundle la intenet wala kuangalia salio. Hata kuangalia tu salio la kawaida nikienda kwenye ile sehemu ya kubonyeza ili kuongeza ama kujua salio inajiiivuta na mwisho inaniambia 'time out'! Sasa hivi ili kuingiza bundle la internet kwenye modem hii inabidi nifanye hivyo kwa kutuma kutoka kwenye namba nyingine ya voda. hapa nafanyaje wajuzi. 2.Eneo la huku Shamba Makabe ninapoishi Vodacom Internet sio mwao kabisa! Kuna wakati nilikuwa nikiamka usiku wa manane kwa matarajio kuwa itakuwa fast angalau lakini mara nyingi imekuwa slow kuliko hata inavyokuwa mchana! Ninaomba msaada wa kuichakachua Modem yangu E220 ili iweze pia 'kula vichwa' Tigo na Airtel maana uwezo wa kununua Modem zao sasa hivi haupo! Natanguliza shukurani.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kasome uzi wa huawei unlock kule JF Store iliuweze kupata hizo unlock code zake sawa..
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sawa Mkuu kwa hilo tatizo langu la Pili! La kwanza je?
   
 4. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hlo la kuwa slow inategemea na tenwork ya sehemu yako coz hapa me voda ndo ipo faster nyingine zote ovyo?
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Nop huwezi pata unlock code kwa kutoa serial number kwa hii type of modem mkuu
   
 6. chazymseri

  chazymseri Senior Member

  #6
  Oct 15, 2014
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kaka nami naomba msaada ninashida ya kufungua huawei e220 naona link zilizowekwa hazi respond tena kama kuna msaada wowote please natanguliza shukurani
   
 7. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2014
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  ukiweka line tofauti unapewa ujumbe gani?
   
Loading...