Msaada tafadhali: Mbu wananisumbua!

Hapo inatakiwa kufanya fumigation wasiliana nasi kwa huduma ya fumigation na mbu watabaki hadithi 0657835309 bei zetu ni nafuu sana
 
Usijali ni jambo jepesi sana kwetu sisi TAUSI ENVIROSERVICES piga tukupe USHAURI BURE au ukitaka huduma 0654 427142
 
Uwe unarudi saa nane usiku alaf usiwashe taa, ukiingia ndani make sure una nyata kama paka, alaf ulale chini ya uvungu, you will comfuse them.
RANDOM SLEEPING ITAWACHANGANYA MBU......HII IMENIFURAHISHA KWELI KWELI.....GUARDS, WAO WANA "RANDOM PATROL", AIMING TO CONFUSE INTRUDERS....
 
Kuna hii kitu ya kichina,unachomea ndani baada ya nusu saa sio mbu,nzi,buibui,mende,kunguni,chawa wala dudu yoyote itakuwa hai humo ndani.

Hiyo si kwa mbu wa mwembechai, ukiweka hiyo wanadondoka chini alafu wanaanza kuzunguka kwa spidi kali kama pangaboi, ukilala tu unao tena wanakua na hasira balaa - huwa nahisi hiyo dawa huwa inawaongezea njaa.
 
Mwaga oil chafu kwenye matenki ya maji taka kama lita Arobaini kila tenki moja.. Then fanya fumigation kuzunguka mazingira na kisha ulale kwenye chandarua chenye dawa.. Hapo wewe na familia yako mtaishi miaka 120 @.
 
Uzi wa zamani ila utanisaidia. Mbu wamekuwa ving'ang'anizi kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…