ipo hivi ukiota mmbwa ni roho ya uasherati maan hiyo eidh inakufatilia ama inamfatilia. lkn sbb kaota mjamzito bc kuna roho anazo za malkia wa bahari zinazomtumikish katika uzinz. hvo jua kbs anakusaliti pia ana hiyo roho inayomwingilia ndo maan ni mjamzito hvo maamuzi kwako ss