Msaada tafadhali kwa anayefahamu hili swala

Night Watch

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
2,102
Reaction score
2,152
Naombeni kujuzwa kwa wale wanaofahamu hili tatizo,kwenye kufanya application za chuo inapofika sehemu ya kuweka namba ya mtihani form four na six inaandika no connection to necta try again later.

Shida ni nini mana toka jana na hangaika ila hali ile ile.

Msaada tafadhali kwa anayefahamu hili swala.
 
Unavyokuwa unauliza swali,taja chuo ulichokutana na tatizo hilo!
 
Chuo ni UDSM,ila tatizo limekwisha tatuliwa,shida ilikuwa system ya necta
 
Back
Top Bottom