Msaada tafadhali;Kuumwa Tumbo chini ya kitovu wakati breed... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali;Kuumwa Tumbo chini ya kitovu wakati breed...

Discussion in 'JF Doctor' started by kakamukubwa, Sep 23, 2012.

 1. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jaman mwenzi wangu anaumwa,Yeye akikaribia siku zake huumwa tumbo mbaya,na hata anapokuwa kwa siku tumbo humuuma sana,kibaya zaidi yeye huenda siku na anapo maliza anaweza kaa siku 3 ikashuka tena..wadau wenye ujuzi huu Msaada tafadhari.
   
Loading...