The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,483
- 12,308
Habarini za saa hizi wakuu. REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.
Samahani kwa usumbufu. Nina mdogo wangu anahitaji msaada wa namna ya kuondoa Password katika pc yake ingawa anajua password ila ameona usumbufu wa kufungua lock kila mara hivyo anahitaji kujua namna ya kuiondoa kabisa setting hiyo pindi afunguapo. Anatumia pc aina ya DELL.
Naombeni process ya kuitoa kwa yeyote anae fahamu.
Natanguliza shukrani zangu.