Msaada tafadhali, kuhusu ubora wa laptop za acer

Msaada tafadhali, kuhusu ubora wa laptop za acer

quote_icon.png
By Kimetah chekin, me nimenunua used lap top HP,charger yake output ni 6A na computer input ni 4.7
nimeambiwa ina weza haribu pc

vip ni kweli?

ni kweli kabsa tena mda c mrefu


tanx sa ninunue ya power ngapi kiongozi
 
Back
Top Bottom