Msaada tafadhali, kuhusu ubora wa laptop za acer

denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,113
6,937
Habarini za jioni wakuu.? Tafadhali naomba kwa yeyoye anayejua kuhusu ubora na matatizo ya laptop aina ya acer anijuze, maana nategemea kuimiliki hv karibuni na sina uzoefu nazo. Natanguliza shukrani.
 
Nishakutana nazo kama 2 hivi za washkaji zimeharibika kwenye zile kona zinazoshikiria screen. Sidhani kama ni general weakness yao
 
Tafuta dell au samsung na hp...acer si nzuri sana...nasema ivo maana zinasumbua watu(watumiaj nnao wajua)..
 
zina matatizo ya keyboard na mouse ku freeze jaribu ku google ujionee mwenyewe, fuata ushauri wa jamaa hapo juu
 
Nilikuwa nayo min thn ikazingua ila in short ziko delicate sana na hazko durable ..change yr mind.
 
Inategemea na pesa yako Acer nyingi zenye matatizo ni zile za bei poa, same as Dell, HP nk.
 
Inategemea na pesa yako Acer nyingi zenye matatizo ni zile za bei poa, same as Dell, HP nk.

Nakubaliana na wewe mkuu, ninamiliki Acer Aspire moja hivi, ina 2GB RAM, 2.2 GHz processor, niliinunua kwa Tsh. 760,000/= tu. Ina mwaka 1 na miezi 6, iko poa sana, sipati maumivu na sioni dalili za kupata maumivu
 
nina acer aspire 5551 nilinunua 3yrs ago 1.1M haijawahi kunisumbua hata mara moja , ila usinunue za bei rahisi
 
Nishakutana nazo kama 2 hivi za washkaji zimeharibika kwenye zile kona zinazoshikiria screen. Sidhani kama ni general weakness yao

shukrani kwa hilo mkuu. Litaniongezea umakini katika utumiaji.
 
Inategemea na pesa yako Acer nyingi zenye matatizo ni zile za bei poa, same as Dell, HP nk.

asante pia kwa hilo mkuu. Ila niliyoipata mimi ni Acer TravelMate 2492. Vp kuhusu hii?
 
Ninatumia Acer, sijawahi kupata tatizo lolote.
Laptop brand zote inategemea zaidi na bahati yako, search specific model uone kama ina defects zozote.
Yangu ni 5742G nilichagua kwa vile ina graphics card mbili na inaswitch automaticaly, ukiwa unatumia program za kawaida inatumia simple graphics card haili battery, ukilaunch Call of Duty au Fifa 13 inaswitch kwenye Nvidia GForce 540M automatically uweze kucheza. Nairecommend sana hii Laptop.
 
quote_icon.png
By JuaKali
Inategemea na pesa yako Acer nyingi zenye matatizo ni zile za bei poa, same as Dell, HP nk.

Nakubaliana na wewe mkuu, ninamiliki Acer Aspire moja hivi, ina 2GB RAM, 2.2 GHz processor, niliinunua kwa Tsh. 760,000/= tu. Ina mwaka 1 na miezi 6, iko poa sana, sipati maumivu na sioni dalili za kupata maumivu

mkuu chochote usipokimiliki vema lazima kitakusumbua laptop yoyote hp,dell,acer,na zingine zinahitaji matunzo.
usije ukaenda nunua used au ya bei poa akatarajia kukaanayo sana,kila ki2 kina mwisho wake.but 4 sure acer ni delicate sana,mana kuna mwana apa anayo imeharibika sense so ye ni mwendo wa mouse 2,
 
Ninatumia Acer, sijawahi kupata tatizo lolote.
Laptop brand zote inategemea zaidi na bahati yako, search specific model uone kama ina defects zozote.
Yangu ni 5742G nilichagua kwa vile ina graphics card mbili na inaswitch automaticaly, ukiwa unatumia program za kawaida inatumia simple graphics card haili battery, ukilaunch Call of Duty au Fifa 13 inaswitch kwenye Nvidia GForce 540M automatically uweze kucheza. Nairecommend sana hii Laptop.

duuuuuuuu we noumaaaaaaaaaaa
 
chekin, me nimenunua used lap top HP,charger yake output ni 6A na computer input ni 4.7
nimeambiwa ina weza haribu pc
vip ni kweli?
 
For me DELL na HP is the best,ila I.always use DELL,nazikubali sana sema bei yake ghali kidogo
 
asante pia kwa hilo mkuu. Ila niliyoipata mimi ni Acer TravelMate 2492. Vp kuhusu hii?
Hiyo ningekushauri usiinue, sijawahi itumia ila nimeona specifications zake online hazijakaa sawa, cpu inatumia Intel Celeron siyo nzuri hata kidogo, HDD=60 , na memory=512. Halafu watumiaji wengine wanailalamikia kuwa ina matatizo ya backlight kuungua na Keyboard. Uamuzi ni wako mkuu!!
 
Back
Top Bottom