kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,417
swali zuri sana mkuu, naona labda uwezekano wa kupata ajali kwenye usafiri wa daladala ni ngumu kwasababu root ni fupi na barabara nyingi za mjini ni nzuri..na ndio maana kuzidisha abiria kwenye daladala inaruhusiwa ila tu gari liweze kufunga mlango ilihali mabasi ya masafa marefu hata kuzidisha abiria mmoja ni kosa.
Hilo suala la madaladala kuruhusiwa kuzidisha abiria lipo kisheria?swali zuri sana mkuu, naona labda uwezekano wa kupata ajali kwenye usafiri wa daladala ni ngumu kwasababu root ni fupi na barabara nyingi za mjini ni nzuri..na ndio maana kuzidisha abiria kwenye daladala inaruhusiwa ila tu gari liweze kufunga mlango ilihali mabasi ya masafa marefu hata kuzidisha abiria mmoja ni kosa.
Hofu kubwa kwa sit ya mbele ni uwezekano wa Dereva na abiria wake kujipiga kwenye kioo cha mbela (Wind Screen) na kutoka nje ya gari
Lakini kwa siti ya nyumba hata kama utarushwa utaishia kujigonga kwenye viti vya mbele
Hivi ushajiuliza kwa nini Airbags ziko viti vya mbele tu?
molwe
Sijakuelewa vizuri, Kwa hiyo unajaribu kusema ni kuwa Kwa abiria wanaokaa Siti Za nyuma ya Gari siyo lazima wafunge mikanda? Kama unamana hiyo Kwa hiyo waliotengeneza Magari na kuweka mikanda ya usalama hadi Siti Za nyuma walikosea?
Kuna nchi hapa jirani yetu tu,hakuna kusimamisha abiria hata kwenye haice na mpk konda wa haice ana seat yake.swali zuri sana mkuu, naona labda uwezekano wa kupata ajali kwenye usafiri wa daladala ni ngumu kwasababu root ni fupi na barabara nyingi za mjini ni nzuri..na ndio maana kuzidisha abiria kwenye daladala inaruhusiwa ila tu gari liweze kufunga mlango ilihali mabasi ya masafa marefu hata kuzidisha abiria mmoja ni kosa.
lipo mkuu, ndomaana hata mwendokasi magari yake yana viti vichache sehemu ya kusimama kubwaHilo suala la madaladala kuruhusiwa kuzidisha abiria lipo kisheria?
nchi gan mkuu?Kuna nchi hapa jirani yetu tu,hakuna kusimamisha abiria hata kwenye haice na mpk konda wa haice ana seat yake.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Hapo Rwanda mkuu.nchi gan mkuu?