Msaada tafadhali kuhusu mkopo Bayport

Msaada tafadhali kuhusu mkopo Bayport

Superbrand

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
509
Reaction score
158
Mimi ni mtumishi wa serikali niliomba mkopo Bayport miaka mitatu iliyopita nimerejesha miaka miwili huu ni wa tatu bado miezi kumi nataka niwarudishie hela zao wasitishe makato nimeenda ofisi zao wana goma, je nifanyeje?
 
Pole sana, wezi hao..kwani hilo la kugoma ku-liquidate huo mkopo wao lipo kwenye masharti ya mkopo?
 
Mimi ni mtumishi wa serikali niliomba mkopo Bayport miaka mitatu iliyopita nimerejesha miaka miwili huu ni wa tatu bado miezi kumi nataka niwarudishie hela zao wasitishe makato nimeenda ofisi zao wana goma je nifanyeje
wanakubali bwana! ila kwanini ukope huko kwa hao wezi,unalipa deni mara 3 zaidi !!!!!
 
Pole sana, wezi hao..kwani hilo la kugoma ku-liquidate huo mkopo wao lipo kwenye masharti ya mkopo?

Unajua mkuu kosa langu sikusoma masharti kwani nilikuwa nashida sana wala sikupata muda wa kusoma ila niliwahi kumuuliza meneja wa branch ya moja wakaniambia lina wezekena kwa penalt ya instalment moja ila baada ya kwenda wanagoma mkuu
 
wanakubali bwana! ila kwanini ukope huko kwa hao wezi,unalipa deni mara 3 zaidi !!!!!

Nimeenda kwenye ofisi zao hii wiki ya pili wananizungusha mkuu leo asubuhi nimeenda wakasema haiwezekani nisubiri liishe
 
tatizo wengi huwa hawasomi hii mikataba ndiyo maana mwisho wa wiki wengi huishia kulia na kusaga meno. ila mtu akikaa na kusoma mkataba huo aise kwa mtu mwenye akili timamu awezi kusain hata kama unashida
 
Unajua mkuu kosa langu sikusoma masharti kwani nilikuwa nashida sana wala sikupata muda wa kusoma ila niliwahi kumuuliza meneja wa branch ya moja wakaniambia lina wezekena kwa penalt ya instalment moja ila baada ya kwenda wanagoma mkuu
Kimsingi inapaswa iwe hivyo wa-calculate interest yao then ulipe tu yote, sasa kwa kuwa kuna utapeli ndani yake basi ndio maana hawataki umalize huo mkopo wao...pole sana, ila jaribu sana kukomaa na meneja afanye uungwana aisee
 
Duu pole sana mkuu nimejfnza kit kutoka kwako na wachangiaj wote
 
Mimi ni mtumishi wa serikali niliomba mkopo Bayport miaka mitatu iliyopita nimerejesha miaka miwili huu ni wa tatu bado miezi kumi nataka niwarudishie hela zao wasitishe makato nimeenda ofisi zao wana goma, je nifanyeje?

...pole sana mkuu, hii mikopo yenye riba kubwa inaongeza umasikini kwa walala hoi.
 
Hao ata ukimaliza kulipa wakat mwingine wanaendelea kukata adi uwataharifu nina rafik yangu ni meneja mkoa fulan.

Kampun za mikopo tz ziko kuchuma tu.zinatake advantage watu kulipwa pesa ndogo hivo lazima watakopa.

Riba zao ni kubwa kama bayport. Kijana wa bayport atakayekupata kukushawishi mkopo analipwa asilimia 10 ya mkopo wako.

Ukikopa million 10 yeye atalipwa million moja.

Hivo ukikopa ujue ni kama utamlipa kijana wa bayport, kampuni etc
 
Nilichowahi kuambiwa kuhusu hao jamaa(Bayport) ni kwamba huwa wana tabia ya kuendelea kukata pesa yako(especially km wanakata kwenye mshahara) hata km umemaliza kulipa deni na hata ukifanya follow up wanajifanya wanafuatilia issues kumbe wanasogeza miezi tu( inaweza kufika hadi sita) na hiyo hela waliyokata kukurudishia ni issue na km ni mnyonge ndo ishakwenda ivo. Labda ilikuwa ni target walitaka kukufanyia hivyo hivyo. Ninachokushauri komaa tu ikibidi wambie unawachukulia hatua za kisheria watalainika tu.
 
Yaaan hapa nipo nje kwao nakomaa namsubiri meneja anadai wana kikao
 
Unajua mkuu kosa langu sikusoma masharti kwani nilikuwa nashida sana wala sikupata muda wa kusoma ila niliwahi kumuuliza meneja wa branch ya moja wakaniambia lina wezekena kwa penalt ya instalment moja ila baada ya kwenda wanagoma mkuu

Mpigie huyu jamaa...0758092222
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom