tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 502
Huyo mzee nami nami nadhani atakuwa na msongo wa mawazo kwani ahadi alizopewa nyingi hazipo tena.
Siasa zisitutoe akili zetu jamani, muogopeni Mungu nyie watu wa Lumumba.Yupo unguja,ila anatumia dawa za ugonjwa wa akili.
Naomba hiyo clip mkuuKweli we tonge nyama
Mkuu kwenye avatar yako kuna viumbe wawiliWenye akili timamu wote wapo CCM. CDM wamejaa misukule tu ndo maana hata mambo yao yanaenda shaghalabaghala
kweli nyerere alaaniwe kwa kuwafukuza wazungu mapema alipopewa uhuru.akawaondoa wakati bado wananch ni wajinga.asingefanya hivyo tusingekua na watanzanja wajinga kias hiki.na mpaka tuelimike wote bado ipo miaka mingi sana.yani kweli ccm kudhulumu kura za watanzania kuua na kuumiza watu ilitu wawe madarakani bado mtanzania anakuja hapa kuwashabikia?alafu mtu huyu utakuta wazaz wake bado wapo kwenye nyumba za nyasi.Wenye akili timamu wote wapo CCM. CDM wamejaa misukule tu ndo maana hata mambo yao yanaenda shaghalabaghala
Naomba ile clip mkuuMleta mada wakupuuzwa hana jipya
Ww unafikirbnyumba za nyas zmeletwa na ccm zmeletwa na uvivu wa baba ako wenzake wakienda shule yy anaenda kutafuta makusu acha afie huko manyasinikweli nyerere alaaniwe kwa kuwafukuza wazungu mapema alipopewa uhuru.akawaondoa wakati bado wananch ni wajinga.asingefanya hivyo tusingekua na watanzanja wajinga kias hiki.na mpaka tuelimike wote bado ipo miaka mingi sana.yani kweli ccm kudhulumu kura za watanzania kuua na kuumiza watu ilitu wawe madarakani bado mtanzania anakuja hapa kuwashabikia?alafu mtu huyu utakuta wazaz wake bado wapo kwenye nyumba za nyasi.
IPI? Nimesema mleta mada apuuzwe pamoja na washarika wakeNaomba ile clip mkuu