Hivi hati ya nyumba si ndiyo hati ya kiwanja?
We nawe.........sasa umeshataja hati za vitu viwili tofauti.....inakuwaje vifanane........kiwanja na nyumba ni kitu kimoja kwani...........hizo ni hati mbili tofauti.......hati ya nyumba inawakilisha nyumba......hati ya kiwanja inawakilisha kiwanja........wanatoa tofauti kwasababu unaweza ukawa na kiwanja but kisiwe na nyumba so kitahitaji cheti cha umiliki.........

Nijuavyo mimi hati ya kiwanja hubeba na vitu vyote vilivyopo juu ya kiwanja husika.
Sasa kama kiwanja kina nyumba, hati ya kiwanja ndio huitwa hati ya nyumba!
Ah ah ah uhii; illegal migrant; nimecheka alone0712653022 mpigie huyo jamaa
nini tena mkuuAh ah ah uhii; illegal migrant; nimecheka alone
nini tena mkuuView attachment 363134 jamaa alinisaidia nikapata hati
There ua; alihitaji muongozo kama huo jmn. Sasa ww fastaa ukarusha No ya simu. Dunia haiaminiki.nategemea amenunua au amemiliki/kishwa kihalali ambapo lazima atakuwa na nyaraka ya serikali ..sasa kama una shamba ambalo halina nyaraka sijui atakuwa amelipataje.....aende serikali za mtaa wa eneo husika watampa utaratibu .....@divine nitake radhi mkuu