i tunes inahtajka hapo
i tunes inahtajka hapo
Jaribu hii..
Step 1. Connect simu yako kwenye Pc na usubiri itoe mlio wa kuconnect na kudisconnect(sikiliza kwa makini).
Step 2. Shikilia home and power buttons hadi usikie mlio wa kudisconnect halafu achia power button.
Step 3. Subiri hadi utakaposikia mlio mwingine ndio uachie home button.
Ikigoma jaribu hii:-
Step 1. Zima simu yako
Step 2. Shikilia home and power buttons.
Step 3. Ukiona alama ya apple ndio uachie power button lakini endelea kushikilia home button.
Step 4. Fungua iTunes na subiri itakuambia kwenye restore mode.
Ikikataa tena njoo,kuna njia ya kutumia applications kama Red snow etc
Nimejaribu njia zote imekataa inakuja alama ya apple tu
Jaribu tena hivi:-
1. Chomeka iphone yako kwenye Computer.
2. Zima simu yako.
3. Fuata maelezo yangu kwenye post yangu ya juu kwa kutumia Itune(put your phone into DFU mode)make sure hadi itune ikwambie simu yako ipo kwenye recovery mode.
4. Run 'redsn0w program' kwenye Computer yako.
5. Nenda kwenye 'Extras' na chagua 'Just Boot'
6. Kuanzia hapa Endelea tu kufuata maelekezo vizuri na simu yako itawaka
Download redsnow hapa www.iphonehacks.com/download-redsn0w au hapa www.blog.iphone-dev.org/ (angalia chini kabisa).
NB: kuwa makini na rudia rudia nata kadhaa kama ikigoma at first
Sasa akiwa na itune ndio simu inawaka? We vp
Asanteni sana kwa wote simu imewaka na ime change to newer version ios 6

Wakuu View attachment 93909View attachment 93910Simu yangu leo kutwa nzima imekataa kuwaka, ilizimika ghafla tu then nikiwasha inakuja logo ya apple lakini haiwaki. Nime jaribu kobenyeza kwa pamoja kitufe cha kuwasha/kuzima ya juu na kitufe cha "home" kwa pamoja lakini haijakubali! Msaada please
i tunes inahtajka hapo
Rudi kwenye tecno mambo haya huyaweZi
Ya nini?toa maelezo yenye kueleweka.
Nimejaribu njia zote imekataa inakuja alama ya apple tu
Ok nashukuru nitajaribu hivi then nitakujulisha
Asanteni sana kwa wote simu imewaka na ime change to newer version ios 6
Hii ndo sababu ninaipenda JF
Ni tatizo kubwa lakini rahisi tu kulitatua. Ungeenda kwa mafundi pengine ungetumia hela nyingi kuliko bundle ya internet miezi 3!
Kwa hiyo ukiwa makini, kupitia JF, unaweza kuokoa hela nyingi kuliko ulizonunulia smartphone au laptop yako!