Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,927
Wakuu habari zenu?
Naomba kusaidiwa hapa kidogo maana nimeshindwa, ipo hivi nime update Google play music ndo mara nyingi nilikuwa naskilizia music nikishapakua online, ila baada ya update imekuja haitaki kuplay inaniandikia vitu ata sielewi tatizo lugha shida baba
na kila nikibonyeza napelekwa huko ata sielewi