Msaada tafadhali, hali ni tete

Msaada tafadhali, hali ni tete

STABILIZER

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
10
Reaction score
13
Jamani wenye uzoefu nisaidieni nifanyeje hapa?

Miaka miwili iliyopita nilipata rafiki ambaye tulikuwa wapenzi baada ya muda. Naweza kusema ni mzuri sana sijapata kuona, na kitandani anajua kufanya mambo sijapata kuona maishani. Nilijiona kweli hapa nimefika, yaani tukiingia tuu chumbani mashine yangu inasimaama fastaaaa. Mwaka jana alipatwa na matatizo ya macho Akaondoka akarudi kwa wazazi wake kwa matibabu. kwa mapenzi ya Mungu akapona na Mwaka huu akaja kunitembelea. Kumbuka wakati akiumwa hatukukutana kimwili zaidi ya kusalimiana tuu, na mara nyingi hatukuonana. Ilibaki msg na kupigiana simu tuu.

Hivi alipopona akaja na kunisimulia kilichompata. Anasema uchunguzi wa kidaktari unaonyesha alikuwa na sumu mwilini ambayo katika kutoka ikamuathiri macho na nusura apofuke macho kabisa. Kwa sasa anavaa miwani. Basi akanitafuta na kunisihi tuonane tukumbushie mambo yetu, nikamkubalia. Nikaenda alipo, nikamkuta kwake room. Baada ya maongezi tukaanza mchezo. Alipovua tuu nguo zake nikapatwa na mshtuko kuona mwili wake wote una mabaka meusi meusi kila sehemu kuanzia juu mpaka miguuni kama chatu vile.

Ile hali ilisababisha hisia zangu zipotee, lakini nikajikaza asigundue kama nimeshtuka, nikajilazimisha tukafanikiwa kwenda round one. Baada ya hapo nilishindwa kabisa, kwani binti alikuwa mweupe mzuri sana lakini alivyobadilika sikuamini. Kabla ya hapo hakuwahi kuniambia hilo. Katika maongezi nikamwuliza imekuwaje ? akasema ni madhara ya hiyo sumu ambayo ilimuathiri hadi machoni. Kwa kweli nilishindwa kuhimili round ya pili akawa analalamika tuu na kuniuliza nawaza nini? Alafu tulikuwa tumezoea kwenda round tatu au nne, so siku hiyo ilikuwa soo kubwa sana. Mpaka leo najisikia aibu kila nikikutana naye, roho haina amani. Je nifanyeje ili hali yangu irudi kuwa kawaida na nimzoee kama awali?
 
Pole kwa uzembe wako! wa kushindwa kuamua fasta na ukajitosa kufanya naye mapenzi, sijui kama ulitumia condom. Hata hivyo ili uwe na amani nenda kapime na wewe uone kama hiyo SUMU haijakuingia mwilini.
 
maradhi tu ndugu yangu...sawa na wewe ukate mguu lazima kovu litabaki.Na yeye kama ameadhiriwa na sumu na kabaki na makovu ni kitu cha kawaida, la kuelewa ni hili...uzuri wake upo pale pale kwani uzuri wa mtu siyo maumbile ya nje tuu.
AHSANTE SANA
 
mmh ndugu yangu kama ulikurupuka unalo,binti kashindwa kukunyoshea maelezo sumu gani hiyo?au ulifananisha ya mwakyembe kapime H.I.V ww na huyo mwenzio.then uje tukupe ushaur na kama ndo kudandiana unalo hilo huyo kuna possibility kaadhiria kwan na ndugu yangu dalili hizo ndo anazo imegundulika ukimwi kwa sasa anaish kwa matumain.
 
Baada ya kustuka usingeruhusu haya yote yatokee, ungesepa bila kuaga. Ona sasa una mawazo ambayo hujajua mwisho wake.
 
Pimeni ngoma, tena hakikisha unaenda nae maana wewe ukipima kwa sasa hutaona kitu kwa sababu ya ile kitu - window period
 
Dah, loh, lah aisee, huyu jamaa mnamweka pabaya sana kwa hizi comments. Halafu mbona yeye hajibu? Kuna mshikaji kajinyonga karibu na maeneo ninayokaa, isje ikawa comments hizi ndio zimemfikisha hapo! Duh
 
Samahani Mkuu naomba kuelemishwa kidogo, Hii habari ya kuumwa Macho huwa ina uhusiano na na maambukizi HIV? Kuna uwezekano huo? na inaweza kuwa ya kwanza kabla ya magonjwa yale nyemelezi? Vipi kuhusu makovu nayo Mkuu uhusiano na HIV nao ukoje? hakuna ugonjwa/alergy tofauti na maonjwa nyemelezi yanayoweza kusababisha makovu???

Natanguliza shukrani Mkuu. Asante.

mmh ndugu yangu kama ulikurupuka unalo,binti kashindwa kukunyoshea maelezo sumu gani hiyo?au ulifananisha ya mwakyembe kapime H.I.V ww na huyo mwenzio.then uje tukupe ushaur na kama ndo kudandiana unalo hilo huyo kuna possibility kaadhiria kwan na ndugu yangu dalili hizo ndo anazo imegundulika ukimwi kwa sasa anaish kwa matumain.
 
Dah, loh, lah aisee, huyu jamaa mnamweka pabaya sana kwa hizi comments. Halafu mbona yeye hajibu? Kuna mshikaji kajinyonga karibu na maeneo ninayokaa, isje ikawa comments hizi ndio zimemfikisha hapo! Duh

Na majina yenu yanavoendana huenda ikawa ndo jirani yako!!!
 
Sasa mleta mada ..wewe msaada unaoomba ni upi hasa?? Wa kuzoea haya mabaka au ???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha hili nalo la msingi sana
 
teh teh teh kama kapigwa shost vile SHTUKA dogo ohooo
 
Kapime maana nionavo maumivu ya kichwa huanza taratibu
 
Ili muwe na amani vema kwenda kucheck afya zenu .Halafu mnaajamiiana bila hata kua na mpango wandoa jamani lol. Sasa acha kufanya hiyo michezo michafu jitunze unless kama huyu mdada umemchagua awe kwenye maisha yako otherwise check afya then tulia duh
 
Back
Top Bottom