Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 575
- 298
Kuna mtu unamwambia hivo wala hashtuki.inatakiwa kila ukimuona
unamuuliza hivi..'nasikia harufu hiyo'?
we husikiii chochote?
ataelewa tu
kuwa mjasiri muite faragha mweleze,anza hivi,ndugu kwa muda ambao nimeanza kazi hapa mpaka leo nimegundua wewe ni mtu mwenye busara sana,mkarimu na mwenye huruma kifupi unaroho nzuri,kutokana na hayo naona ni vema kuku weka wazi jambo moja ambalo watu wote tunaona si la kawaida na naamini hakuna ambaye amejitokeza kukuambi binafs roho wa mungu ananiambia nisikae kimya kwan nahs namkosea mungu,ndugu huwa unatoa harufu sana emu jarbu kumuona daktar,hii harufu si ya kawaida

Is this really an HR matter? zaidi naweza kusema ni Health and Safety...Huna HR wanaoweza kuongea naye vizuri?
Is this really an HR matter? zaidi naweza kusema ni Health and Safety...
Hahahahaha, hapo si utakua unamchonganisha na wengine walio kutwa kazini? But I like the approach. Just keep God out of it. Hahahahahaha
Anaweza kumwambia halafu akaonekana offensive (wakati kikweli aliye offensive ni anayenuka)
Natumaini akilipeleka HR kuna watu wako trained ku deal na mambo kama haya na watamueleza huyu mtu kiutaratibu na kwa authority ya HR bila kuanzisha vurugu.
Kama kuna HR ya kueleweka lakini.
I get your point... good idea nzuriAnaweza kumwambia halafu akaonekana offensive (wakati kikweli aliye offensive ni anayenuka)
Natumaini akilipeleka HR kuna watu wako trained ku deal na mambo kama haya na watamueleza huyu mtu kiutaratibu na kwa authority ya HR bila kuanzisha vurugu.
Kama kuna HR ya kueleweka lakini.
hi ya mungu kanituma naona dhambi kukaa kimya ni kali kwa kweli lol

HR kama ya kiswahili utajuta
utasikia yule mgeni anasema eti tunanuka...lol
unajenga maadui ghafla...