Wakuu naomba kuelimishawa kama nikiwa na blackberry (unlocked) ya GSM/GPRS 1900/850/900/1800mhz au 3G UMTS 2100/1900/850 mhz nitaweza kuitumia ktk mitandao ya Tigo, Voda na Zain Dar.
Wakuu naomba kuelimishawa kama nikiwa na blackberry (unlocked) ya GSM/GPRS 1900/850/900/1800mhz au 3G UMTS 2100/1900/850 mhz nitaweza kuitumia ktk mitandao ya Tigo, Voda na Zain Dar.
Those two are world wide standard unaweza kutumia sehemu yeyote ile.
GSM ndio inatumika sehemu nyingi sana duniani origin yake ni EUROPE. Na kwa tanzania mitandao yote inatumia standard ya GSM.
UMTS ni standard imeoriginate from AMERICA.So baadhi ya provider ya marekani na canada wanatumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.