Msaada Tafadhali: Email za Vigogo wa Vodacom

Msaada Tafadhali: Email za Vigogo wa Vodacom

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,222
Reaction score
4,184
Nina tatizo ma Staff wa kitengo cha CC cha Vodacom. Kwa kuwa wameshindwa kunipatia ufumbuzi naanza kupanda ngazi kwenda juu. Tafadhali sana kwa anayejua naomba kupata email za CEO wa Vodacom, ya Mwamvita Makamba, Rukia Mtingwa na wahusika wengineo. Asanteni
 
Back
Top Bottom