Msaada tafadhali, Dar-Mwanza

Msaada tafadhali, Dar-Mwanza

MTU kama huyu hushushwa kwenye bus kama Tashrif yaendayo Tanga na abria hurudishiwa hela na abria wenye haraka
 
Nimepanda pale Kibaha leo Happy Nation ya Mwanza, huo mwendo wake....!! Nashukuru safari yangu ilikuwa inaishia Morogoro......
 
Ndugu yangu vipi? Unanitakia ni R.I.P kwani nimesema nimekufa?

Ndugu! Pia usisahau kusali na kutubu dhambi zako, umkiri YESU kuwa ni BWANA na Mwokozi wa Maisha yako incase of anything uingie MBINGUNI!
 
Nimepanda pale Kibaha leo Happy Nation ya Mwanza, huo mwendo wake....!! Nashukuru safari yangu ilikuwa inaishia Morogoro......

happy nation body mbovu ila sasa huo mwendo
 
Kama ni mara yako ya kwanza kufika Mwanza usikose kufika BUJORA SUKUMA MUSEUM pia karibu jengo la Jiji la Mwanza uone kwenye jengo hili kwa miaka mitatu iliyopita zimepotea zaidi ya bilioni 40 na viongozi waandamizi wa nyakati hizo leo wakapandishwa vyeo
 
Humo humo kweny basi kuna namba SUMATRA ambazo unapiga bure ba kuwaeleza mwendo wa basi au mpigie Mpinga kwa hiz namba 0754 360 046

Hizo namba nasikia wamezitoa madereva kwa kuogopa kuharibiwa kazi na abiria. Leo asubuhi nilikuwa nasikia Clouds wakiliongelea hili suala la madereva wa mabasi kuondoa namba za SUMATRA garini.
 
Hizo namba nasikia wamezitoa madereva kwa kuogopa kuharibiwa kazi na abiria. Leo asubuhi nilikuwa nasikia Clouds wakiliongelea hili suala la madereva wa mabasi kuondoa namba za SUMATRA garini.

Kwahyo SUMATRA hawana utaratibu wa kukagua hayo magar na kuona kama bado zipo au kwakuwa vuguvugu la ajari limepungua wameamua kulala
 
Nimepanda pale Kibaha leo Happy Nation ya Mwanza, huo mwendo wake....!! Nashukuru safari yangu ilikuwa inaishia Morogoro......

Mpwa unapoongelea Happy Nation maana yake unamaanisha mwendokasi...

Hao jamaa wanakimbiza sana magari yao kwa miaka yote niliyowafahamu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom