Msaada tafadhali, chuo cha St. John tawi la Dar kimefungiwa??

Gwiyama

Senior Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
114
Reaction score
89
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada juu ya chuo cha st.john tawi la Dar ,Bugulun Malapa,kimeshafungiwa au lah?

Maana mdgo wng ameapply hapo kwa ngazi ya cheti lkn hakuna dalili yoyte ya kutoa selection.

Msaada tafadhali.wakuu
 
Sasa mama mdogo miaka yote hii alikuwa wapi mpaka ndo aanze kusaka cheti
 
Soma vzr alichosema halaf utaona ulivyokurupuka kujibu
Mkuu nimesoma nikarudia tena nilichokiona ni watanzania kutokuwa na muamko kielimu mtu anayepaswa kuwa mama yake mtu mwenye account jamiiforum alipaswa walau awe anasaka Masters
 
Sio mama yake mdogo ni mdogo wake ndio maana nmekwambia soma vzr alichoandika
 
Mkuu nimesoma nikarudia tena nilichokiona ni watanzania kutokuwa na muamko kielimu mtu anayepaswa kuwa mama yake mtu mwenye account jamiiforum alipaswa walau awe anasaka Masters
Sasa mama mdogo miaka yote hii alikuwa wapi mpaka ndo aanze kusaka cheti
mtoa mada amesema mdogo wake ndie alie apply na sio mama ake mdogo. read between the lines, msikurupuke kujibu tu.
 
Back
Top Bottom