Sawa.. nisaidie namna ya kufanyaUkikwama hizo solution juu uko..Piga window chini hiyo..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ni process ndefu kidgo
Kama upo mwanza mcheki Mgg3 atakusaidia
Hapo bado haujasolve tatizo ila unatengeneza tatizo. Hiyo ya kuchomoa RAM chomeka ipo siku utaharibu RAM au Slot za RAM ambapo itakugharimu kununua RAM mpya au kurepair slot za RAM.I have the same problem on my dell desktop! Ninachokifanya ni kuzima computer kisha nachomoa RAM na kuichomeka tena kisha nawasha computer naendelea kutumia na maisha yanaendele.
Kama mpaka safe mode inakataa itakuwa imecorupt kabisa mkuu.
Hapo bado haujasolve tatizo ila unatengeneza tatizo. Hiyo ya kuchomoa RAM chomeka ipo siku utaharibu RAM au Slot za RAM ambapo itakugharimu kununua RAM mpya au kurepair slot za RAM.
Ni sawa mtu kaona tatizo la battery (Plugged in, not charging) lkn bado anatumia tu na matokeo yake anajikuta ananunua adapter mpya na battery mpya
Kama PC yako umeichoka fanya kuchomoa RAM na kuweka (Suluhu install clean window litaisha)
Nashukuru kwa kulielewa hilo.Nimekupata vizuri sana mkuu! Nashukuru kwa ushauri
Ok poa mkuu..Kama mpaka safe mode inakataa itakuwa imecorupt kabisa mkuu.
Eka windows, kama una mafile yako usiformat HDD eka windows then utayakuta kwenye folder la windows old.