Msaada tafadhal

Washa na safe mode, ikikubali ujue kuna file kwenye pc yako linakuchezea, rudisha pc nyuma kwa restore point ya karibu.

Kuingia safe mode

-washa computer yako kawaida kabla ile screen ya windows haijatokea bonyeza F8


-utapelekwa kwenye advanced bootup option chagua safe mode.


Utaingia kwenye windows lakini itakuwa ni basics tu, hapa nakushauri restore pc yako kwenye earlier point, mfano wiki kadhaa nyuma. Kurestore just click search kisha search hilo neno itakuja.
 
Dah mkuu nmejaribu bado inagoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikwama hizo solution juu uko..Piga window chini hiyo..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…