una laptop? maana tablet za laki 8 kushuka za windows zinatumia atom na hazina nguvu sana ni za kufanyia mambo madogo tu.
kwa ambazo ni maarufu zinapatikana hapa bongo ni asus transformer T100 na acer aspire switch.
sema hizi ni 2 in 1
kama unataka tablet kabisa ambayo haina hata keyboard zipo kama dell venue 8 pro, toshiba encore, asus vivotab, lenovo miix etc
hizo transformer ukicheki zoomtanzania na site nyengine za online zilo kibao unaweza wapigia simu ukanunua kwao mfano hii kwa 570,000
Computers for Sale in Tanzania | ZoomTanzania