Kijana hebu soma, fanya kazi/ujasiriamali au tumia kipaji chako upate mapesa yako! Hizo namba watakuwa wanakupa wenyewe tu na kwa kweli utakuwa unazikimbia hizo K (udomo zege wako utakuwa ni wa kushindwa namna ya kuwakwepa!).
Halafu jifunze ku control mazungumzo
na sio kumuacha yeye aku control....
ukiulizwa swali hili la namba yangu umeipata wapi'
mjibu tu kuna mtu kanipa....rafiki yako anae taka upate 'mwanaume sahihi'
anzia hapo....au unaweza usijibu ...kwa kuanzisha topic ingine
au jifanye namba amekupa yeye mwenyewe zamani ila kasahau