MSAADA SUMSUNG J7PRO VS IPHONE 6PLUS

MSAADA SUMSUNG J7PRO VS IPHONE 6PLUS

Mkuu we nenda kwenye simu yenye features ulizokuwa unazihitaji kabla, Ningekuw mimi nngechukua i6 plus bila kuangalia pemben
 
unashindanisha j7prime na 6 plus utakuwa sio mzima
iphone wana true features
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IPhone 6 plus ulinganishe na J7 pro ????
 
specs wise hio iphone ni nzuri zaidi kuliko hio samsung. iphone zinalinganishika na S na Note series. hizo j, A, C, ON na series nyengine za samsung hazina specs zenye nguvu ku compare na iphone.
Shukran mkuu ndo maana huwa watu wengi wanasubiri majibu yako

Ubarikiwe
 
namaanisha huwezi kulinganisha hiyo j7 simu ambayo ni low end na iphone 6 ambayo ipo ktk kundi la high end
 
Ndugu kwa style hii jiangalie sana itabidi hata mke tukuchagulie
 
kupunguza gharama chukua SJ7 pro,
Ukihitaji security kubwa chukua iPhone 6, ukihitaji OS yenye platiform kubwa chukua SJ7 yenye android!

Ila kwa ushauri wangu, tafuta samsung S-series! achana na hiyo J... hutojuta ukichukua S6 na kuendelea... Sijui kuhusu Note sijawahi kutumia
 
Vipi s5 mkuu
 
Back
Top Bottom