David vav lungu
New Member
- May 25, 2018
- 1
- 1
Naomben kujua mtu anayefahamu chochote kuhusu suma jkt electrical company dodoma wanapatikana wap.
Umeuona muongozo?Naomben kujua mtu anayefahamu chochote kuhusu suma jkt electrical company dodoma wanapatikana wap.
Kama upo Dodoma mjini, panda gari za kwenda nkuhungu, au zinazoenda stand mpya ya mnadani, ukipanda tu mwambie konda nashuka jkt yani kwenye hiyo gari utakayopanda usikae hata nyuma maana sio mbali itoshe kusema ipo bahi road karibu na shule ya msingi kizotaNaomben kujua mtu anayefahamu chochote kuhusu suma jkt electrical company dodoma wanapatikana wap.