Msaada: stray Cat kahamia Kwangu

Msaada: stray Cat kahamia Kwangu

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
715
jamani wataalm wa wanyama naombeni msaada

kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni normal kwake . Baadae nimekuja kugundua ni kajike na sitaki paka wazaliane kwangu maana sina pa kuwapeleka. naombeni suluhisho kama kuna njia yoyote ya kumzuia asizae hapo kwangu baadae
 
Upo wap? Tafta Dr wa mifugo afanye spaying .
 
jamani wataalm wa wanyama naombeni msaada

kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni normal kwake . Baadae nimekuja kugundua ni kajike na sitaki paka wazaliane kwangu maana sina pa kuwapeleka. naombeni suluhisho kama kuna njia yoyote ya kumzuia asizae hapo kwangu baadae
Hiyo ni bahati,ndo maan ya balacuda
 
Cats are awesome and fun to have them around! To me it's like a blessing i wish it could come straight to my place
 
waswahili wanasema mpaka humtambua mtu mwenye roho mbaya,huwa hawamsogelei kabisa sijui kama nikweli but hakuna mnyama mkarimu kama paka unapompatia utaratibu mzuri
 
Mpaka hapo hakutakuja kuwa na panya wala nyoka ndani kwako......cha msingi muhasi huyo nyau.
 
Mchanganyie bluu kwenye maji kila wiki mara moja ndani yamwezi mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom