Niliwahi tumia Itel ilikuwa na the same problem. Kumbe ilikuwa hivi, ukifuta, folder ama file, linaenda dustbin na kulikuwa na folder lake lilikuwa linaitwa ".estrong" (kama sijakosea). Hivyo yawezekana nawe kukawa na tatizo kama hilo maana sina uzoefu wa matumizi ya tecno, mimi nilikuwa naenda kwenye hilo folder la dustbin na kuli empty.