Yaani dagaa wachafu ndjiyo kiwe chakula cha kuku?, hao kuku wataliwa na nani?, kwahiyo umedanganywa kuwa kuku wanalishwa uchafu?, nyie ndo mnawafanya wafugaji wasipate faida....
kaka wanaitwa hivyo ila si kwamba ni wachafu, yani wasafi ni wale mnaouziwa sokoni then wachafu ni wale ambao si grade ya kwanza. kuku anahitaji madini ya chuma so si lazma usage wale wa daraja la kwanza, itakua gharama sana. hata mapanki(mabaki ya sato) yanatumika kutengeneza chakula cha kuku.
wakuu heshima yenu,
natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku
mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa
vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata
kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
Kaka dagaa wachafu ni sumu inabidi wateketezwe halafu we unauza vitu substandad?
wakuu heshima yenu,
natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku
mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa
vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata
kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
Chakula cha kuku hakitengenezwi na dagaa wachafu. Viwanda vinatumia dagaa safi sidhani kama utapata soko labda uende kariakoo shimoni huwa wanauza mavumbi ya dagaa na dagaa wachafu.
huna uju alo wewe ungetuliza mshono wafugaji tujeYaani dagaa wachafu ndjiyo kiwe chakula cha kuku?, hao kuku wataliwa na nani?, kwahiyo umedanganywa kuwa kuku wanalishwa uchafu?, nyie ndo mnawafanya wafugaji wasipate faida....
ivi protin ndo madini ya chuma???kaka wanaitwa hivyo ila si kwamba ni wachafu, yani wasafi ni wale mnaouziwa sokoni then wachafu ni wale ambao si grade ya kwanza. kuku anahitaji madini ya chuma so si lazma usage wale wa daraja la kwanza, itakua gharama sana. hata mapanki(mabaki ya sato) yanatumika kutengeneza chakula cha kuku.
tan moja una uzaje baba????wakuu heshima yenu,
natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku
mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa
vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata
kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
Poor youhuna uju alo wewe ungetuliza mshono wafugaji tuje
Hawaitwi dagaa wachafu, huitwa dagaa wa mifugowakuu heshima yenu,
natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha kuku
mzigo unapatikana kuanzia tani tano hadi kumi, kwa yeyote alie na mawasiliano na watu wenye viwanda vikubwa
vya kutengenezea chakula cha kuku nijulisheni pls. unaweza nipa mawasiliano yao au kunielekeza kiwanda kilipo, hata
kama unamjua dalali anaehusika na dagaa wachafu pia ntashukuru ukinipa mawasiliano yake.
duuh mkuuu mimi naishi mbeya matema beach iko kyela na sio mboziiiTani moja unanunua shilingi. Mie shangazi yangu anafuga bata na sungura. Lakini anaishi Mbozi hukoooooo karibu na Matema Beach. Vipi unaweza kumfikia?