Msaada Soil Testing for Agriculture.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu naomba mnifahamishe sehemu gani kwa hapa Dar ambayo nitaweza kufanya vipimo vya udongo wa shamba langu tayari kwa ajili ya kilimo.
Msaada wenu tafadhali.
 
nenda wizara ya maji wana kitengo cha upimaji udongo wako ubungo opposite na stand ya zamani ya daladala ya ubungo
 
Ukitaka majibu ya uhakika na kwa haraka zaidi peleka Kenya.Hawa wa kwetu bana longo longo nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom