Msaada: Snow Fox DVD and Video Converter for FCP

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wakuu za Jumapili,

Ninahitaji msaada wa hii software, (mac)
kuna video hazikubaliwi na Final Cut Pro 7, mfano, vob, mp4 nk.
nikiziconvert kwenda mov kwa kutumia Quicktime, bado pia zinakataa.

hii software nimeona online kuwa ina-convert to FCP moja kwa moja, mwenye nayo tafadhaliu.
NB: nimedownload kwenye website yao, lakini ni demo na inaconvert only 3 minutes, tafadhali msaada.
 
Back
Top Bottom