Msaada SKY BOX la UK kama linaweza shika channel Bongo

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Wakuu salamu,
Naomba msaada kama kuna uwezekana wa SKY BOX (uk) kuweza kushika satellite likiwa bongo,
Je kuna program yoyote inatakiwa? maana nilikuwa na box yangu sina kazi nayo nimeisafirisha bongo sasa wenyeji wanasema inawazungua hakuna channel inayoonekana, hiko kwenye searching tu.

Nitashukuru sana kwa ujuzi au maarifa

Channel gani wanashika? ziko FREE au $$$(scrambled)?

Receiver yoyote ya MPEG4 lazima ishike channel zote za FTA

Ila kama ziko $$$ basi lazima wanunue account ya #card_sharing
 
WANASEMA HAKUNA KINACHOONEKANA, KAMA NI MTAALUMU WA MAMBO HAYA AU KAMA UNAMJUA MTU NAOMBA NAMBA YAKE PM please
 
Namaanisha dish lao ni futi ngapi? wamelielekeza upande gani?
Na matarajio yao ni kuona channel zipi? e.gLocal channel au dstv etc
Kutokea hapo ndo ntajua fundi gani atawafahaa
 
Back
Top Bottom