mshumbusi
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 457
- 232
wana jukwaa hina simu mpya kabisa ya Samsung galaxy s3 ila inanatizo la kuto kiview picture muda mfupi baada ya kupiga .nimejaribu kutembelea kwenye tovuti mbalimbali ila nimeona hakuna jibu la kutibu tatizo msaada naomba kwa yoyote anaye fahamu njia sahii za tatizo hili