Wadau heri na iwe kwenu, naomba kuelekezwa settings za simu yangu kama kuna sehemu nimejilock maana nashindwa kusoma youtube comments, naambiwa a Restricted mode iko ON ila sijui pa kuizimia.
Wadau heri na iwe kwenu, naomba kuelekezwa settings za simu yangu kama kuna sehemu nimejilock maana nashindwa kusoma youtube comments, naambiwa a Restricted mode iko ON ila sijui pa kuizimia.View attachment 1624340
Mimi pia sioni comment wala siwezi kucomment nmeweka off na automatically hapo kweny dns lakini wapi naombeni msaada nmejaribu hata ku update app lakin wapi