Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Dah!! Ngojea wanakuja wenyewe,,lakini si ungejaribu kumuuliza anatokea upande gani wa Africa Mashariki?Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...
Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:
ww ndo umempenda sana huwez kujua yeye, bt take care wa design yenu huwa wanajilengesha ivo ili asife na tai shingon anagegedwa na kufa na kamba shingoni.Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...
Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:
Mbona alinisalimia mara ya pili mm ndo nikapata ganzi!Mbona rahisi tu dadangu?Kama upo ughaibuni na watu hawajui kiswahili,ukipanda basi lake we ongea tu Kwa kiswahili nae atashtuka Kama ulivyoshtuka wewe ulipomsikia akiongea,then muombe namba ya simu!Daah!ila kupenda bhana!!!?ni utata mtupu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Unamaanisha nn?Jiulize mpo wangapi?
sio Nyani Ngabu huyo? Subiri aje ......