Hapana mda mwng natumia kazin na mazoez pia nafany lakin sielew hali yng ynPole kwa hilo tatizo.
Je, unakua upo free sana muda mwingi? Kama jibu ni ndio, jitahidi kuwa busy na unapokua unapumzika jaribu kuwa na watu wengine ili katika mazungumzo akili inakua inafikiria mambo mengine.
Jaribu kuwa na ratiba ya mazoezi, kama muda wako unaruhusu ukimbie. Unaweza ukawa unapiga hata push ups kadhaa, ukaruka kamba. Uchovu wa mwili kutokana na zoezi utasaidia.
Kaz nnyo tena napga kaz hasa lakin hili tatz kubwaa sanaaaBila shaka huna kazi ya kufanya,na kama unayo basi hiyo kazi haikuchoshi cha kukushauri tafuta hata shughuli ya ziada kama ujasiliamari iku keep busy na kukuongezea uchovu,sisi wenzio wengine hadi kulikimbia tuna likimbia hilo tendo kutokana na mikiki mikiki ya maisha
Wewe huna kazi ungelikua na kazi hasa ya kukuchosha usingekaa ukafikiria huo upuuz, una pata wapi huo muda wa kufanya mapenzi mpaka Mara 3 kwa Siku ikiwa utatoka nyumbani asubuhi saa 12 na kurudi saa 2 au 3 usiku ukiwa na uchovu tele? Unapata wapi huo muda? Au hao wanawake unawabadilisha usiku wa manane?Kaz nnyo tena napga kaz hasa lakin hili tatz kubwaa sanaaa
Nenda tu kawacheki hizo disorder kwenye mwili zipo.Nahis broo yan cna rahaaaa
hiyo nyege.ni za jogooWana jf Kuna Kitu kinansumbua kwa muda mrefu Sasa nmekuwa na ttzo yan nafanya mapenzi kupta kias siwez kumaliza siku mbili hta nkiacha kufanya nko radhi npge hat punyeto yan nahis hta Nna majini cna raha kuna Cku naweza kufany hta nawanawake 3 ttzo limekuwa sugu Cwez kuwa na girl mmj hawez kunvumilia Sasa tatzo cjui ni nn naomba msaadaaa jmn litakuwa ttz gn
Naomba pokea wishes zangu za valentine.Una pepo la ngono wewe sio bure...
Hiyo hali umeilelea wewe mweyewe mfano ni Kama mtumiaji wa madawa ya kulevya akishazoea kuacha ni ngumu sana. Ushauri, anzisha mbinu ya withdrawal method yaani anza kupunguza kiwango cha kusex kidogokidogo baada ya kipindi fulani utakaa standardWana jf Kuna Kitu kinansumbua kwa muda mrefu Sasa nmekuwa na ttzo yan nafanya mapenzi kupta kias siwez kumaliza siku mbili hta nkiacha kufanya nko radhi npge hat punyeto yan nahis hta Nna majini cna raha kuna Cku naweza kufany hta nawanawake 3 ttzo limekuwa sugu Cwez kuwa na girl mmj hawez kunvumilia Sasa tatzo cjui ni nn naomba msaadaaa jmn litakuwa ttz gn
haina haja ya kufanya kosa mwambie tu aende segerea au ukonga aombe akae mule ndani kwa muda anaotaka mwenyewe na hakuna kuomba kutoka mpaka muda ufike na awe treated kama mfungwa akitoka atakuwa amepona tayariFanya kosa uende jela ukakae hata miezi sita ukitoka hutawaza tena
Broo punguza ukali wa maneno we umejuaje nko kwa babaSimu yako ina mavideo ya ngono tu,
Unakaa kijiweni huna kazi ya kufanya,
Kazi kuongea ushenzi na kutafuta marafiki kwenye miyandao ya kijamii,
Huna familia ambayo itakufanya ufikirie majukumu,
Huna mtoto,
Huna mke,
Unakula kwa baba,
Unalala kwa baba,
Hulipi kodi,
Nguo unanunuliwa,
Kazi yako wewe ni moja tu "kuchart"
Then unakuja JF kusumbua akili za watu eti "SIRIDHIKI NIKIFANYA MAPENZI"
Pumbafu zako.... Tafuta majukumu uone kama utapata huo muda wa kuwa na wanawake zaidi ya watatu...
Tena ukome kuja kusumbua watu Shenzi wewe!!!
Wew mim tatzo c kwamba cna kaz tatz nmeshajarbu kufany mazoez wap tena nahis ndo yanachochea sana Kwan nkichoka nakuwa na ham npge kmj ndo nlaleeUngekuwa na kazi zilizokubana za kuumiza kichwa huo muda usingeupata. Jaribu kufanya mazoezi halafu jaribu ratiba yako iwe imebanwa na mambo mengine zaidi ya ngono