Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 613
- 580
maybe which course ulitaka kuhamia huko??????labda tunaweza kushauriana ndugu yangukuhama au kuhamia category kuna mawili inawezekana extra charges ikahitajika yaani kulipia tena pesa nyingine,au uwe umepata hasara ya pesa maana the cost of the category is different jaribu kuliangalia na hilo,alafu kwanin uhame category hujiamin au hukua na specific goals????