Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 943
- 617
Pdf reader ninayo ila sasa tatizo langu ni kwamba hiyo education guidebook sioni kabisaWww.nacte. com na uwe na PDF reader ktk cm ili uwez kusoma
Pdf reader ninayo ila sasa tatizo langu ni kwamba hiyo education guidebook sioni kabisaWww.nacte. com na uwe na PDF reader ktk cm ili uwez kusoma
....na diploma ya mwaka 3 inaitwa NTA Level 7 (Advanced/Higher Diploma = equivalent degree) na diploma ya mwaka wa 4 inaitwa NTA Level 8 = postgraduate diploma (Bachelor degree)NTA level 4 ni basic sertificate (mwaka wa mmoja au mwaka wa kwanza) na NTA level 5 ni technician certificate ( huyu ni mwanafunz wa mwaka wa pili) n mwaka wa tatu inaitwa NTA level 6 au diploma. kama hujaelewa nakaribisha swali
Kwa vyuo vya ualimu upande wa serikali inawezekana kabisa kuwa nafasi zimeisha maana wamewaamishia wale wanachuo wa UDOMWana Jf naomb mnifahamishe kw waliomb vyuo kupitia nacte km kuna aliyeona vyuo vya serikal ktk course ya uwalim aniambie me nmeviona vyuo vya private 2 wakat ktk guidbook vyuo vyote wamevionesha
[quote uid=376684 name="abubakarbwamkuu" post=16972848]Wana Jf naomb mnifahamishe kw waliomb vyuo kupitia nacte km kuna aliyeona vyuo vya serikal ktk course ya uwalim aniambie me nmeviona vyuo vya private 2 wakat ktk guidbook vyuo vyote wamevionesha[/QUOTE]<br />Kwa vyuo vya ualimu upande wa serikali inawezekana kabisa kuwa nafasi zimeisha maana wamewaamishia wale wanachuo wa UDOMSs wana JF vyuo vy serikal vnavyotoa diploma vtakuw vmejaa au?
Asante kwa msaada mkuu kidogo nilipe zile ela za kuombea chuo. Sasa tunaombaje vyuo vya serikali kwa upande wa education. Atakayepata ufumbuzi pliz atwambieGuide book hiyo apo kiongozi unaweza kuiangalia ila vyuo vya selikali hamna na pia kozi ya diploma ya education (in service) hamna pia hivyo kuwa makin ucje ukawapa pesab wale bule hawa jamaa hata hawaeleweki mkuu
<br />Kwa vyuo vya ualimu upande wa serikali inawezekana kabisa kuwa nafasi zimeisha maana wamewaamishia wale wanachuo wa UDOM[/QUOTE][quote uid=376684 name="abubakarbwamkuu" post=16972848]Wana Jf naomb mnifahamishe kw waliomb vyuo kupitia nacte km kuna aliyeona vyuo vya serikal ktk course ya uwalim aniambie me nmeviona vyuo vya private 2 wakat ktk guidbook vyuo vyote wamevionesha
Acha uongo wewe.[/QUOTE]<br />Kwa vyuo vya ualimu upande wa serikali inawezekana kabisa kuwa nafasi zimeisha maana wamewaamishia wale wanachuo wa UDOM
Ss wana JF vyuo vy serikal vnavyotoa diploma vtakuw vmejaa au?
Tupe sababu sasa kwa nini havionekani kwenye website ya NACTE? Au kama kuna utaratibu mwingine wa kuomba vyuo vya ualimu tuambie bac mkuu, vijana wanaangaika sana.[/QUOTE]Acha uongo wewe.
cjakupata mkuu fafanua kidogo hapo mkanganyiko kivip?????Kuna mkakanyiko wa udahili mitihani kati ya NACTE na NECTA vikao vinaendelea toka jana
kuhama au kuhamia category kuna mawili inawezekana extra charges ikahitajika yaani kulipia tena pesa nyingine,au uwe umepata hasara ya pesa maana the cost of the category is different jaribu kuliangalia na hilo,alafu kwanin uhame category hujiamin au hukua na specific goals????Nafanya vip ili kuhamisha maombi toka kozi za afya kwenda kozi nyingine? Maana niliomba kozi za afya nikakosa ila kwa sasa kila nikitaka kuomba upya system inanocommand vyuo vya afya