Msaada: Sioni kozi za diploma NACTE

Msaada: Sioni kozi za diploma NACTE

Asrtle

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
13
Reaction score
9
Habari wana JF toka juzi NACTE walivyotangaza kuanza kupokea application za diploma nmekua Nikiingia kuapply but nakuta kozi za certificate pekee yake but za diploma hazipo inakuwaje hapo wana JF naomba msaada wenu, asanteni.
 
kozi gan ndugu unataka kuombA
 
hata koz za diploma ya ualimu waliopo makazini (in service) pia hamna zipo za pre-service, nadhindwa kuelewa ni vyuo vimejaa au ni system yao inazingua?
 
hata koz za diploma ya ualimu waliopo makazini (in service) pia hamna zipo za pre-service, nadhindwa kuelewa ni vyuo vimejaa au ni system yao inazingua?
Nitumie link
 
jamani mi naombeni msaada kuna hiki kitu cha NTA LEVEL kinanichanganya hivi kati ya certificate nta level 4 na nta level 5 zina utofauti ganii???
 
NTA level 4 ni basic sertificate (mwaka wa mmoja au mwaka wa kwanza) na NTA level 5 ni technician certificate ( huyu ni mwanafunz wa mwaka wa pili) n mwaka wa tatu inaitwa NTA level 6 au diploma. kama hujaelewa nakaribisha swali
 
Na kwa mtu aliyemaliza technician certificate(2 years) ya CO, akiomba diploma ya hiyo kozi je atasoma miaka mingapi ya dip?
 
Nafanya vip ili kuhamisha maombi toka kozi za afya kwenda kozi nyingine? Maana niliomba kozi za afya nikakosa ila kwa sasa kila nikitaka kuomba upya system inanocommand vyuo vya afya
 
mtu mwenye technician certificate ya miaka kama ipo katika mtindo wa NTA bas atakua anacheti cha NTA level 5 kwa hiyo atasoma NTA level 6 ambayo ni diploma hivyo atasoma mwaka mmoja mkuu nadhan umenielewa
 
Hapo nimekupata mkuu ahsante.
 
Habari wana JF toka juzi NACTE walivyotangaza kuanza kupokea application za diploma nmekua Nikiingia kuapply but nakuta kozi za certificate pekee yake but za diploma hazipo inakuwaje hapo wana JF naomba msaada wenu, asanteni.
Ndugu yangu leo nilienda kwenye office za nacte dah walichosema kina vunja moyo kusoma tena wamesema kuwa kama kozi za diploma hazipo ujue chuo kimejaa so inabidi uapply mwakan ambayo ni wastage of time. Nimechoka nahaya maelezo yao ni bora utafute chakufanya kama utaweza kusubiri mpka mwakan itakua juu yako.
 
Wana Jf naomb mnifahamishe kw waliomb vyuo kupitia nacte km kuna aliyeona vyuo vya serikal ktk course ya uwalim aniambie me nmeviona vyuo vya private 2 wakat ktk guidbook vyuo vyote wamevionesha
 
Hivi jamani mbona kwenye profile la mdogo wangu upande wa "Ordinary Diploma in primry education" hapaoneshi hata mtu yeyote aliyechaguliwa, mfano waliotuma labda ni 200,wanaotakiwa ni 150, waliochaguliwa ni 0.Hapa ni kwa vyuo vyote vitatu alivyotuma.Halafu mwishoni kabisa wameandika "Dear .....you are advised to wait for next selecton which is expected to run soon" Sasa mm nashindwa nifanyeje maana sijui kwamba nacte wameisha toa selection kwa upande wa elimu au bado,kama bado watatoa lini ili mtu kama asipochaguliwa akimbizane na hii tarehe ya mwisho ya kutuma maombi upya.please naomba msaada kwa hili.
 
Wana Jf naomb mnifahamzi kw waliomb vyuo kupitia nacte km kuna aliyeona vyuo vya serikal ktk course ya uwalim aniambie me nmeviona vyuo vya private 2 wakat ktk guidbook vyuo vyote wamevionesha
Mkuu samahani guidebook ya upande wa elimu unaipata sehemu gani?mbona mm sioni katika hizi walizo sema to download.
 
Back
Top Bottom