msaada:simu zenye uwezo wa wifi

msaada:simu zenye uwezo wa wifi

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
salamu zenu wakuu,nina tatizo naitaj msaada iv ni simu za aina gan zina uwezo wa kuunda wifi na uka i detect na computer au tablet?natanguliza shukran
 
android inauwezo huo na nokia symbian kam uta weka joikuspot
 
Jamani hata Samsung SGH-917 windows phone inauwezo WA WiFi.ni jambo zuri ukitumia mfumo Huo NA ni rahisi kutumia.ndio ninayotumia Samsung
 
Sim xeny android techlogy zna uwezo wa kusupply wi-fi nahc ndo ztakufaaa sana
 
dah hizi mada samrich na oxlade munazirudia kweli tumieni connectify kwa pc zenu mtaweza kuzipa tablet zenu inaternet. Easy way la sivyo mtazunguka hadi basi miezi na miezi inapita huo ndo ushauri wangu.

Simu zote zinatoa adhoc hamna tablet ya android inayokubali adhoc atleast hata ingekua bidhaa ya apple
 
nokia yngu imegma joiku ni nokia 5700.vp cwez kutengeneza kwa ktmia laptop

Connectify Hotspot will serve that thing....... Inakuruhusu kushare your internet connection with others
 
Mi ninaki ki galaxy mini changu hapa.....kina wi fika mbayaaa. Try it
 
mimi naomba kusaidiwa hivi karibuni nilimtumia mtu sms ilikuwa si ndefu sana ni ya wastan,lakini cha kushangaza ni kwamba ile sms nusu ilifika kama nilivyoandika na nusu yake haikufika bali yalijitokeza maandishi mengine kabisa.nikajiuliza kwann??sasa niliomba kujua kama kuna mtu aliwahi kupata shida kama hii tafadhali wataalamu nisaidieni
 
Android yoyote inaweza.
ila chaj kuisha kwny sim ilio full ni dk 10 tu
 
Back
Top Bottom