Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

zombieboy

Member
Jul 1, 2019
54
73
habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
 
Pole sana yaweza kuwa shida ni betri au firmwarenau saketi , hivyo kama ni firmware peleka kwa fundi aflash na kama ni betri nenda kwa fundi , na kama ni saketi badili saketi si chini ya elfu 60K
 
nakushuru sana kiongoz.umenipa mwanga
Pole sana yaweza kuwa shida ni betri au firmwarenau saketi , hivyo kama ni firmware peleka kwa fundi aflash na kama ni betri nenda kwa fundi , na kama ni saketi badili saketi si chini ya elfu 60K
 
na kama ni saketi badili saketi si chini ya elfu 60K
Hivi saketi huwa zinaingiliana yani kwa mfano ninaweza nikachukua simu ya spea nikaenda nayo akanibadilishia. Au hadi ipatikane ya simu husika.
 
Wanakuja Matajiri wa JF wenye simu za IPhone, Samsung, HTC, Apple za bei hatari machoni pa Watu lakini kiuhalisia ni walalahoi tu wa mlo mmoja kwa siku bali ulimbukeni tu wa maonesho ndiyo unawazuzua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…