Zikwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 239
- 131
Habari za Mda Huu ndugu, Kma kichwa kinavyosema Natumia samsung galaxy A5, Tatzo lake ni kwamba wakati natumia Internet Inatumika kwa mda fulani alafu inakuja inazima yeyewe kwa dakika kma mbili au tatu inajiwasha tena yenyewe na mda mwingne haiwaki hadi niiiwashee Lkini ukienda sehemu ya kuwashia ntwork ya internet inaonekana imewaka ilihali huku H+ inakuwa imezima, Sasa Naomba kufahamu Tatizo apo ni Nini wakuuu.....
Pili Ni Rafiki Yangu Anatumia Tecno W4 yeye tatzo lake kubwa Ni kwamba System UI inasema haifanyi kazi na kukupa option ya kuclose au wait....Naomba pia kufahamu apa wakuuu Hasa kma Kutakuwa na uwezekano Napenda Kufahamu
SYSTEM UI ni Nini.......??? Na inafanya kazi Gani Kwenye Simu, Inapokuwa Imefeli Nini hasa Ambacho kinaweza kutokea Kwenye Simu ....
Naomba kuwasilishaaa.